Mkaribishe mwanamuziki huyu mchanga kwa kusapoti kazi yake.......wimbo unaitwa Nipende na yeye umtambue kuanzia sasa kwamba anatambulika kwa jina la Finally. Ameingia rasmi kwenye soko la ushindani na anakuhitaji wewe ili na yeye awe kama wale.........tusimuangushe Finally, kwasababu ukisikiliza kwa umakini uwezo anao mkubwa........mdundo wa muziki ni babkubwaa, melodies zimo, vocal je? Tafadhari sikiliza "Nipende"....
Link ya Nipende https://youtu.be/J5nfH5AFf64

No comments:
Post a Comment