Kesho Jumamosi Nov 4 EPL itaendelea kuwasha moto wake na tutashuhudia nani watatoka vifua mbele huku wengine watainamisha vichwa vyao chini.
Nov 4 : 15:30 STOKE CITY vs LEICESTER CITY
Nov 4 : 18:00 HUDDERSFIELD TOWN vs WEST BROMWICH ALBION
Nov 4 : 18:00 NEWCASTLE UNITED vs AFC BOURNEMOUTH
Nov 4 : 18:00 SOUTHAMPTON vs BURNLEY
Nov 4 : 18:00 SWANSEA CITY vs BRIGHTON & HOVE ALBION
Nov 4 : 20:30 WEST HAM UNITED vs LIVERPOOL
Nov 5 : 15:00 TOTTENHAM HOTSPUR vs CRYSTAL PALACE
Nov 5 : 17:15 MANCHESTER CITY vs ARSENAL
Nov 5 : 19:30 CHELSEA vs MANCHESTER UNITED
Nov 5 : 19:30 EVERTON vs WATFORD
Msimamo wa ligi mpaka sasa ni kama inavyoonekana kwenye pichi hii:
![]() |
Anayeongoza kwa magoli ni Harry Kane (8) akifuatiwa na Romelo Lukaku (7), Sergio Kun Aguero (7) na Raheem Sterling (7)
![]() |
| Harry Kane |
Kevin De Bruyne anaongoza kwa pasi za goli 6
![]() |
| Kevin De Bruyne |
Granit Xhaka anaongoza kwa kutoa pasi nyingi zaidi, anajumla ya pasi 869 wakati Toby Alderweireld amecheza dakika 900 ni nyingi kuliko wachezaji wengine wote msimu huu 2017/18




No comments:
Post a Comment